suluhu ni kitu cha muhimu sana katika maisha, hautasamehewa kama hausamehi wenzio. maridhiano kwa wanyarwanda ni kitu cha kuwapongeza na kuwatia moyo waendeleze maisha yao yote, kwasababu wangeacha vinyongo mioyoni what would be its end result? si unaona maridhiano yameleta mafanikio na maendeleo? pia nawapongeza kuiweka siku hiyo kama siku maalumu ya kitaifa ili hata watoto wadogo wakue wakielewa nini kilitokea ili kisije kutokea tena. pia, nchi nyingine tukiwaangalia wanyarwanda na siku hiyo maalumu tutajifunza, tutajifunza tusifanye yale waliyofanyiwa watu kipindi cha kimbari. vilevile, tunapojadili tujue hili ni donda kubwa na linalouma sana kwa wanyarwanda, hivyo vile utakavyoongea uongee ukijipima kama wewe ungekuwa kwenye nafasi yao ukaongelewa hivyo ungejisikiaje. tuache roho mbaya.
Seems wengi wenu hapo juu are not good student of History,wanachofanya Rwanda kina tofauti gani na walichofanya Germany for Nazis? huwezi kuachia ideologue za genocide au kusahau victims for the name of reconciliation,na victims lazima wakumbukwe no matter what,the way to move on is to shame waliofanya genocide na kuwakumbuka victims na Histoy ime prove hivyo,in US hata kama una miaka100 leo wakijua uliwahi kufanya kazi na NAZI hata kama ni kufagia ofisi unakuwa deported,Rwanda they are doing the right thing ndio maana wameweza kufika walipofika kwa kipindi kifupi sana
Problem ni kwamba tunazungumzia maauaji ambayo anaeadhimisha aliua zaidi kuliko mtuhumiwa,je inatakiwa na Wahutu walioko DRC nao waunde tarehe ya maadhimisho yao? Ama kwa kuwa wao hawakuweza kukusanya mafuvu ya ndugu zao waliouwawa kwenye makambi ya wakimbizi ya Tingi-Tingi refugee camp na Loukolela refugee camp kule DRC? Na pia Wahutu waliouwa kwenye makambi ya Internal Displaced People ndani ya Rwanda
http://www.crimesofwar.org/commentary/two-sides-to-every-story-congo-and-the-rwandan-genocide/
http://www.amnesty.org/fr/library/asset/AFR62/033/1997/fr/e4e7a4b8-e904-11dd-be8c-cfccbdfcd668/afr620331997en.html