Tegelezeni
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 268
- 124
Nakushukuru sana kwa mwitikio wako na kuunga mkono shughuli hii...............Tutashukuru pia iwapo utawafahamisha na wenginetunashukuru sana kwa taarifa, nipo Mwanza ila nitatuma mchango wangu.
Kwa wadau wote wa FAJI na waliokuwa wapenzi wa Gazeti la JITAMBUE. Mke wa Hayati Munga Tehenan na wana FAJI, watafanya kumbukumbu ya kifo cha MUNGA TEHENAN. Shughuli hiyo itafanyika katika msikiti wa Kimara na sadaka ya chakula itatolewa katika ofisi za Faji Kimara Rombo.
Bajeti kwa wageni wanaotarajiwa kufikia idadi ya 120 ni Tsh. 631,000. Tunahitaji michango ya wadau kwa hali na mali ili kufanikisha shughuli hiyo. Mtu yeyote mwenye nia ya kuchangia, tunaomba atume mchango kwa M-PESA 0764 461366 au awasiliane na Dr. John wa Tabata Dispensary kwa namba hii 0713 250701.
Atakayesoma taarifa hii amjulishe mwenzie……………
Nipo hapa mjini na inshallah ntachaangia'huyu bwana alichangia kiasi kikubwa sana kunibadili maisha yangu'mpaka sasa naamini kwa tz hajawahi kutokea mtambuzi kama Marehem Munga Said Tehenan'mungu amlaze mahali pema,
Kuna wakati nadhani kuna haja ya kufufua Majarida yale..
Nilifanya nae kazi katika hayo magazeti yao...Kuna wakati nadhani kuna haja ya kufufua Majarida yale..
Nadhani sasa matumizi ya M Pesa yanatumika ndivyo sivyo.
Hata ndugu zake Kanumba waliambiwa wakae kimya kamati inafanya uratibu wa mazishi.Kama hauna moyo wa kutoa kaa kimya.
Matola una maana gani..................?Hata ndugu zake Kanumba waliambiwa wakae kimya kamati inafanya uratibu wa mazishi.
Mkuu habari za siku....................Nilifanya nae kazi katika hayo magazeti yao...
Nakumbuka kampuni iliitwa TK media. Ni muunganiko wa majina mawili...huyo K ndie aliebaki na amana zote...ukilihitaji muone huyo aliebaki.
Mungu amweke Marhuum Munga panapostahiki. Aamiin.
Nahimiza uadilifu, nimevunjwa moyo sana na kamati ya mazishi ya Kanumba.Matola una maana gani..................?
Mkuu habari za siku....................
Naomba tuwasiliane kuna habari njema kuhusu gazeti hilo la JITAMBUE..............................