Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!



We unatakaje???

Fanya kazi achana na maisha ya wengine Fanya yako
 
Mkuu una historia yakutosha tuu na hii familia asante kwa maelezo yako, nimepata kitu, huyu jamaa namkubali sana
 
Pohamba hujaacha kitu kuhusu Nape, Mzee Nnauye, familia yao hadi mizengwe ya akina Mzee Makamba ya kujaribu kum-discredit Nape pale alipoanza kuwachana vigogo wa CCM; hususani Edward Lowassa na Emmanuel Nchimbi enzi zile akiwa UVCCM!

Nakumbuka watu tulivyoshituka baada ya kumsikia Mzee Makamba akisema Nape si mtoto wa Mzee Nnauye wakati ni Mzee Makamba huyo huyo hapo kabla aliwahi kuishi na Nape akiwa mdogo kwa kofia ya urafiki wake na Mzee Nnauye!!

Wallah nakuambia, siku ile ndipo nilikuja kuamini maneno ya watu kwamba Siasa ni Mchezo Mchafu!!!
 
Kumbe mzee mohamed saidi yupo sahihi.
 
Very sad
 
Nape ni mtoto wa baba yangu mkubwa.
Ambaye ni mwalimu mstaafu sasa.
Anaishi gongo la mboto huko.
As far as I know Nape ni mkristo na mgoni.
Ukoo wao ni akina HAULE.
Baba yake anaitwa Peter Haule.
dah! wewe utakuwa katibu wa itikadi , uenezi na ushirikishwaji wa umma wa sekretarieti ya halmashauri kuu ya chama
 
Kumbe hili la kuficha majina ilikuwa fasheni enzi hizo,
ukiitwa abdul hamid mwakalindile inabidi ujiite Abel mwakalindile ili usome ama upate kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…