Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

small mind discuss people, dont be among them.
 
Ni haki ya kikatiba kuwa dini ile upendayo....Ndiyo maana kuna Mwingine na yeye alibadili Dini hadi Jina na kuitwa Jumanne...Ili tu a-survive ndani ya kijani...
 
Nape ni mtoto wa baba yangu mkubwa.
Ambaye ni mwalimu mstaafu sasa.
Anaishi gongo la mboto huko.
As far as I know Nape ni mkristo na mngoni.
Ukoo wao ni akina HAULE.
Baba yake anaitwa Peter Haule.
 
Umesema kweli tupu. Mie hata mama yake Nape namfahamu yuko Kwimba alikuwa idara ya Elimu
 
Sasa mbona Magufuli anatusumbua na majina ya kusomea wakati watu walikuwa na sababu mbalimbali za za kutokutumia majina yao waliyopewa wakati wakuzaliwa nakusomea majina mengine ili kupata ujuzi? Naomba zoezi la vyeti feki liwahusu waliochongesha vyeti kariakoo bila kwenda shule ila waliosoma kwa kuficha majina yao halisi hadi wakawa maprof, ma Dr, waachwe ili mradi wawe kweli walisoma kwa kutumia hayo majina na hawakwenda kariakoo kuchonga vyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…