Kumbukumbu mjaraaabu

Kumbukumbu mjaraaabu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?
TBT-John-Pombe-Magufuli-pic-released-July-26-2015.jpg
 
Jembe letu wana kanda ya ziwa na wana dar es salaam tushikamane kumpigia kura wa kwetu Mhe.
 
Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?
TBT-John-Pombe-Magufuli-pic-released-July-26-2015.jpg
Sura ya utoto hii, halafu alivyoendelea kukua sura ikabadilika na kidevu kurefuka.Ikumbukwe
kwamba urefu wa kidevu cha Magufuli ndio alama kuu itumiwayo na wachora katuni eg. Masoud
Kipanya na wengine.Cheki hapa chini jinsi kidevu cha Magufuli kinavyotafsiriwa na wachora katuni:
MAGUFULI2.jpg
 
Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?
TBT-John-Pombe-Magufuli-pic-released-July-26-2015.jpg

Miaka hoyo yuko form one wasira alikua tayari ni mkuu wa mkoa wa mara, hadi sasa yupo tu.
 
Back
Top Bottom