englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (waliokaa, wa tatu toka kulia) akiwa na wanafunzi wenzake na Mwalimu Mkuu Bwana E.S Williams shuleni Tabora Boys, Tabora mwaka ...1942, Julius akiwa kijana mwenye umri wa miaka 20.