OTHMAN BEY
Member
- Jun 20, 2026
- 74
- 123
Hahaha ulizid ukorofi!!?Bi mkubwa alinichapa bakora mpaka nikazima nilipotia kitumbua cha mtoto wa mwalimu mkuu Pilipili, ili nione nini kitatokea.
UtotoHahaha ulizid ukorofi!!?
Walikuonea sana.Walidhani wewe ni mwizimwizi kama sheikh Mwaipopo alivyokuwa jambazi sugu kule kwao Tabora vijijini?Katika maisha kuna kumbukumbu nzuru na mbaya ila natataka ushiriki kumbukumbu mbaya au nzuri binafsi
1 Nikiwaga mtoto years 5+ au zaidi nakumbuka tukio la shangazi yangu kunisingizia nimemchungulia akiwa anaoga wakati sio kweli nilikuwa napita tu karibu na choo & ua nilijitahidi kujitetea lkn wapi. Nilipokea kipigo cha maana mpaka mkono wangu wa kulia ukapinda na kuvimba ikabidi nile peke yangu na kushoto
Tukio la pili
Niliwahi kusingiziwa nimeiba elf 50,000 wakati sio mimi, nilijitahidi sana kujitetea lkn mama aliamini ni mimi nimeiiba, nilipigwa sana wakinambia usiposema nitakuua mana hatutaki mtoto mdokozi wa vitu. Walinipiga mpaka fimbo nne tofauti zikaishia mwilini mwangu maana walikuwa wanapokezana kunipiga ikabidi niseme ni mimi japo sikuwa mimi
Share na wewe tukio lolote baya uililosingiziwa unalokumbuka kipindi ukiwa mtoto.
Kama si parody lako anza kutoa ushuhuda wako kwanza..
Wengine ndiyo yanatufanya tuchangamke na maisha.Maisha ya kiafrica yamekaa ukatili sana
Bad enough una experience hiyo hali from your family members
Una changamka lakini ndio unakuwa na ukauzuWengine ndiyo yanatufanya tuchangamke na maisha.
Katika maisha kuna kumbukumbu nzuru na mbaya ila natataka ushiriki kumbukumbu mbaya au nzuri binafsi
1 Nikiwaga mtoto years 5+ au zaidi nakumbuka tukio la shangazi yangu kunisingizia nimemchungulia akiwa anaoga wakati sio kweli nilikuwa napita tu karibu na choo & ua nilijitahidi kujitetea lkn wapi. Nilipokea kipigo cha maana mpaka mkono wangu wa kulia ukapinda na kuvimba ikabidi nile peke yangu na kushoto
Tukio la pili
Niliwahi kusingiziwa nimeiba elf 50,000 wakati sio mimi, nilijitahidi sana kujitetea lkn mama aliamini ni mimi nimeiiba, nilipigwa sana wakinambia usiposema nitakuua mana hatutaki mtoto mdokozi wa vitu. Walinipiga mpaka fimbo nne tofauti zikaishia mwilini mwangu maana walikuwa wanapokezana kunipiga ikabidi niseme ni mimi japo sikuwa mimi
Share na wewe tukio lolote baya uililosingiziwa unalokumbuka kipindi ukiwa mtoto.
watu waendelee kujiunga tu.Afu mbona ID mpya ni nyingi sana around this two weeks