komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 404
ndio nilikuwa nahtim darasa la 7
hta Mimi nilikuwa la Saba tena nakumbuka nilikuwa nimetoka kufanya test tuition km ckosei mtihani wa taifa tulifanya tarehe 27 mwezi WA tisa
ndio nilikuwa nahtim darasa la 7
Kkkkk ila inasemekana ni mchongo wao wenyewe ili wapate tiketi ya kuingia vitani dhidi ya wanaowaita magaidi.
Nalog off
Kilichonishangaza sana ni kuona waarabu wakisherehekea shambulio hilo la KIGAIDI.
Acha uoga wewe! Msikiti umeingia vp hapo,si tunazungumzia mambo mengine unataka kuuonea msikiti au kwasababu hauwezi kukujibu ndio maana unausingizia? Inavyosemekana ktk yale majengo kuna wafanyakazi kibao wa kiyahudi lkn siku ya tukio hakufa hata mmoja wao kwa kuwa lile chezo walikuwa wakilijuq.hizo ni story za kwenye kahawa
utatengeneza tukio la kuua raia alfu tatu?? Huko misikitin mnalishwa sana sumu asee
world trade center ilpopigwa hata uchumi wa dunia uliyumba
Karibu sana naona umeridhi mikoba ya KAHTAAN jisikie uko jamvini mkuu.
Asante kwa kunikaribisha, ECHO.
Hii zawadi yako link Solving the Mystery of WTC Building Seven: Controlled Demolition "Planned in Advance of 9/11″ | Global Research
Dah.nakumbuka nilika std IV enzi izo 2001