Kumbukumbu (kwa waliokulia uswazi)

Kumbukumbu (kwa waliokulia uswazi)

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

11209647_460633730767791_5233114331114424511_n.jpg
 
Chandimu...nakamata mido hapo daah hatareee kama Xavi vile fullu udambwidambwi..
 
muda mwingne maisha ya uswazi ni kama mateso...lakini ktk maisha yako kama haujapitia maisha ya uswazi haujakamilika kuna vitamini flani unakuwa umekosa..
 
nilikuwa na kimfuko cha bluu kimeandikwa sport madaftari yalikuwa yanajikunja kwa ajili kubeba huo mpira, sis tulikuwa tunauita sembo. Mtaan kwetu kulikuwa na timu kabambe mwisho wa mechi lazima ngumi zichapwe kuweka heshima. Kweli ilikuwa raha sana
 
Back
Top Bottom