Kumbukumbu: Kumbe Simba walishasepa uwanjani


S

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
1,050
Likes
262
Points
180
S

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
1,050 262 180
Yaani kutokana na historia kuwa muhimu maishani kumbe simba wazee wa fifa fc walishaweka mpira kwapani kama mara tatu nne hivi tangu kuanzishwa mara wanapocheza na Yanga mabingwa mara nyingi na waliowafunga mara nyingi simba fc mikia oyee.kesho tu wasije weka mpira kwapani au kung'oa zege la viti pale uhuru
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
2,352
Likes
2,597
Points
280
Age
38
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
2,352 2,597 280
leo ndio leo asie na mwana abebe jiwe
 
K

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
793
Likes
612
Points
180
K

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
793 612 180
Kumbe Yanga walishawahi kufungwa Goli 6-0 ?
 

Forum statistics

Threads 1,235,782
Members 474,742
Posts 29,235,409