Kumbukumbu hii ya Annex Mrina Arusha Miaka ya early 2000s Haijanitoka mpaka leo

Duh......nimecheka sana aisee kuhusu CJ na story yake ya kupigwa ngeta na vibaka halafu story yenyewe inabadilika kila siku inaboreshwa, halafu mara tena kuna Dr love mtaalam wa kupima oil...... Duh.......nadhani ile timu inanifaa sana mimi kusafiri nayo, lakini wewe Ulikuwa unawaboa sana wenzio

Air HOSTAGE
 
Ha ha ha...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… GG... habari yako General? Nduyu yangu CJ mzee wa chai... Jamaa ile story ametusimulia zaidi ya mara 30 inaboreshwa tu kulingana na makusudio ya siku husika ya simulizi.kama ni kuzungumzia ushujaa basi yeye ndo anakuwa aliwakimbiza mbaya.ila kama ni kuzungumzia misukosuko wao ndo wanakuwa wamemwadhibu.... CJ ukikaa naye haishiwi stories.

Dr. Love yeye kwa watoto... Acha. Anapima oli anakwambia hii imetumika sana au imetoka tumika muda si mrefu....anakwambia hii inafaa au haifai....

Sasa mimi mswahilina walikuwa kwa kweli wananiona mzigo sana sema hawana namna.
 
Hujafunguka vizuri..ila hayo maeneo sio..pale ndio utajua akina baba wahuni tu!
 
Sijaona kitufe cha like nashuru kwakuwa nisinge like bora hiki cha thank you kwa kuandika.
Inakuwaje unaikimbia mbunye!
 
Huyu ndugu naona kama amechanganya habari, nadhani kuna Annex, inayoangaliana na uwanja wa Sheikh amri abeid..na kuna Mrina Inn...na Mrina ndio lilipo 'soko'
 
Sijajua ulitaka nifunguke vipi au unadhani kuna kipi nmekiacha...maana nmesimulia yalitokea kwangu. Ila wewe unaamini sijafunguka vizuri...aiseee. Hizo si ndo tabia za CJ? kama unayo story yako iweke hapa
Hujafunguka vizuri..ila hayo maeneo sio..pale ndio utajua akina baba wahuni tu!
 
GuDume unavimbwanga vyako amaizing sana. Nimecheka mpaka nikaacha kula kwanza nisije paliwa bure.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Njoo tuingie picnic mkuu ila uwe na salio la kutosha

Zaburi 53.1 MPUMBAVU AMESEMA MOYONI MWAKE HAKUNA MUNGU
 
Huyu ndugu naona kama amechanganya habari, nadhani kuna Annex, inayoangaliana na uwanja wa Sheikh amri abeid..na kuna Mrina Inn...na Mrina ndio lilipo 'soko'
Wewe ndo umechanganya habari, wakongwe wa Arusha tunajua yuko sahihi.
Hiyo inayotazamana na Sheikh Amri Abeid ni Annex Arusha by Night, ilikuwa maarufu zaidi Kama hotel kabla ya viduka vilivyochongwa kwa mbele. Bar yake iko cool. Hiyo unayosema lilipo "soko" ndiyo Mrina Annex yenyewe, inafupishwa na kuitwa Mrina.
 
Umeelezea vizuri. Nlijisikia uvivu kumjibu.maana mimi nakumbuka vizuri siku natambulishwa eneo hilo nikifanyiwa utalii wa maeneo nlitambulishwa kuwa panaitwa mrina annex ingawa mara nyingi mimi hupaina annex mrina.

 
Mkuu kuna kisa ntakupa ukisimulie.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…