Kumbukumbu hii ya Annex Mrina Arusha Miaka ya early 2000s Haijanitoka mpaka leo

Top reaaaaa mapema sana kabla majungu yahajafunuliwa vizuri.
Jioni tunashuka mitaa ya bondeni kdg kulikuwa na sister mmoja anaitwa Ester anauza mihogo na samaki wa kukaanga unabamba na parachichi na ndizi kwa ajili ya kusukumia wali.
Mama pilato na third year hatari sana wazee wa TOP Reaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top reaaaaa mapema sana kabla majungu yahajafunuliwa vizuri.
Jioni tunashuka mitaa ya bondeni kdg kulikuwa na sister mmoja anaitwa Ester anauza mihogo na samaki wa kukaanga unabamba na parachichi na ndizi kwa ajili ya kusukumia wali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na wale Watoto wake mapacha pembeni kwa BINGO.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa sisi wenyeji wa arusha kukuaa mrina ni dalili ya kuwa mgeni ,nikama mjanja wadar asivyoweza kwenda uwanja wa fisi kule ,ukija arusha unataka mademu classic nenda ,double tout (njiro) ,the don,kokoliko ,kama pesa iko unataka kukutana na mademu wenye pesa yao nenda the east africa jirani na mkuu wa mkoa ,unakutana na manzi ya kimeru kaliii inarasta ndefu chini imevaa buti nje imepaki pick up lazima ukae
View attachment 1063208
Hii east Africa ipo kwa wap mkuu?,au unasemea maeneo ya via via?...
 
Arachuga sijaenda long time kitambo.

Vipi Ken Garden bado ipo?
Florida pale round about? Sehemu hizo nilikuwa napata chakula na mizigo ya maana sana. Tena mchana tu .
 
Chuga bana nilifika kummandia mandi mmoja hivi wa kiborloni, Demu alikua km bomu la mzee albashir hivi mjanja sana tukikutana Kino hapa huku nyuma kajaza mbaya lakini hapa sound tu,
Tukaelewana mara nna mimba lazima nizae
mzee wa kino nikapelekwa Moshi.
Kimario kipindi hicho nikapigwa bendi tatu muziki njiani(Blue 30)Nikaweka mfukoni tuko njiani huko Mombo mamse anasema pale piga sound unavyoweza ukileta ukweli inakula kwetu, kilinda mfuko nshakupa. Mi nikasmile tu mana leseni nshapewa. 🤗
Hizo sound zangu tulivyofika, dem mwenyewe anakimbia sebule kwenda kucheka nje.
Mi apo naambiwa tu "e baba,eeh baba"
Nakwambia kuanzia nakanyaga ule mji mpk narudi baba mkwe kasimamia show mwanzo mwisho.(Akijua mi kibopa)
Mweh,maduka ya spare karibia yote pale msimbazi nilitaja namiliki. Na mzee mpenda magari baas ilikua kumsukuma mlevi.
Sasa hivyo viwanja Arusha ndio tumemaliza maliza bendi 3 live ni nyama,via,mziki usiku mwingi tuko njiani to Kiborloni.
Sikuoa yule binti (mkwe)mchaga anantafuta mpk leo nimpe chake😂.
Sema nilitia signature pale.17 yrs kijana
Maisha haya
 
Ndugu ni vyema tukue sasa haya matukio kwenye pilikapilika za ujana ni hatari sana vijana wetu hawatakiwi kurithi huu ujinga wetu.

Nilishalala na kahaba akataka 30000/= ndio nile mzigo yaani money first ndio kazi dah ilibidi nilipe nikapiga game tukalala huku naipigia mahesabu 30000/= yangu maana nilikuwa mtupu. Demu alivyolala ilibidi nimsachi nikachukua 30000/= nikanyata nikaodoka zangu ila ilipita kama wiki hivi nikamtafuta tena kwenye mitaa yake nikampa kama 50000/= hivi dah aliniona mwema sana...
Wewe deep inside mtu mwema sana ,mi enzi za umafia wangu nilichukua demu saa nane usiku kufika naye lodge nikala mzigo kumaliza demu akazima ,nkachukua 30k nkaweka kwenye kiatu chake ndani ,siku nikozangu bending kanivaa na rafiki zake alinisifia kinyama anasema alipoamka akajua wahuni wa dar washamliza ,anapovaa viatu akakuta mguu unakwama ndo akukagua anakuta ujira alifurahi mno a kanambia ukikosa demu ukiwa huna hela njoo kopa ntakudhamini bahati mbaya ndo nkawa nastaafu u oil chafu
 
Dereva yeye hakuwa pamoja nasi...alipotea kidogo.baada ya kama saa moja na nusu hivi akarudi...amelewa kinyama... Yaani hata kutembea tu ni shida.

Nikajua hapa safari ishavunjika. CJ na Dr Love wenyeji sana na yule dereva wakasema hamna shida wakamsaidia tu kupanda kwenye gari...Dereva aliomba tu asaidiwe akae kwenye kiti.halafu mengine tumwachie yeye.tulibishana karibia saa nzima.

Je ANNEX MRINA BADO IPO MA CHARLIEE WA ARUSHA?
ha ha ha
 
Back
Top Bottom