Kumbukizi ya miaka 100 ya Mwl. Nyerere katika ukumbi wa COSTECH, mtoa mada ni Prof. Lwaitama!

Katika kumbukizi ya Nyerere mbona wasemaji na watoaji wa mada hawasemi mafanikio ya operesheni Gezaulole, operesheni vijiji vya ujamaa, kamata kamata ya wazurulaji na umuhimu wa utawala uitwao chama chashika hatamu?
 
Back
Top Bottom