Kumbukizi ya miaka 100 ya Mwl. Nyerere katika ukumbi wa COSTECH, mtoa mada ni Prof. Lwaitama!

Mahudhurio kuwa makubwa hutegemea. Watoa mada pia

Lwaitama ataongea nini? Wangeita wanenaji wa kueleweka mfano Profesa Shivji,Peofesa Lumumba, Mzee Mwinyi Raisi msataafu,Raisi Museveni,Profesa Haroub Othman,Mama Getrude Mongela,Mama Anne Makinda,Mzee Mizengo Pinda,Mfanyabiashara Mzee Sabodo,Edwin Mtei,Kardinali Pengo,Askofu Ngakekumtwa,Askofu Mzee Sendoro ,

Ilibidi watoa mada watoke kote bunge,mahakama,Serikali, NGO,Dini,business community, Wasomi,wanasiasa wa ndani na nje nk ambao wanaomjua Nyerere vizuri .Lwaitama na Nyerere wapi na wapi

Prof. Haroob Othman is deceased.
 
Leo linafanyika kumbukizi la miaka 100 ya Mwalimu Nyerere katika ukumbi wa Costech na linarushwa mubashara na ITV.

Watu waliohudhuria ni wachache wakiwemi waziri mkuu mstaafu mzee Warioba na mzee Butiku.

Mtoa mada ni Prof Lwaitama mhadhiri mstaafu wa Udsm na mwanachama wa Chadema
Ukumbini kuna watu wawili watatu wamevaa combat za Chadema lakini sijawaona wanaccm waliovaa sare

Yaliyojiri;
Leta picha pls
 
Mwalimu hakuwa na ubaguzi wa vyama na aliunga mkono uwepo wake. Ninyi msioona mbali mnaangaika na vyama badala ya kuangaika na future ya nchi yetu. Vyama vitapita nchi itaendelea kuwepo.
 
Leo linafanyika kumbukizi la miaka 100 ya Mwalimu Nyerere katika ukumbi wa Costech na linarushwa mubashara na ITV.

Watu waliohudhuria ni wachache wakiwemi waziri mkuu mstaafu mzee Warioba na mzee Butiku.

Mtoa mada ni Prof Lwaitama mhadhiri mstaafu wa Udsm na mwanachama wa Chadema
Ukumbini kuna watu wawili watatu wamevaa combat za Chadema lakini sijawaona wanaccm waliovaa sare

Yaliyojiri;
CHADEMA wanaishi legacy ya Nyerere wakati CCM wanaishi legacy ya Meko.
 
CHADEMA nayo kupitia kwa mwanachama wake wa zamani Dr. Wilbrod Slaa alitoa muhadhara ktk chuo kikuu cha SAUT kuhusu maisha na falsafa ya mwendazake Dr. John Pombe Joseph Magufuli live ktk stesheni ya tv mbalimbali.

Tujiulize hii ina maana CHADEMA ndiyo chama cha kisiasa pekee chenye wanazuoni / makada / wastaafu critical thinkers nchini Tanzania.

Hilo ni la kupongezwa sana chama kuwa watu huru kifikra.

St. Augustine University Tanzania SAUT mhadhara wa Dr. W. SLaa
 
CHADEMA nayo kupitia kwa mwanachama wake wa zamani Dr. Wilbrod Slaa alitoa muhadhara ktk chuo kikuu cha SAUT kuhusu maisha na falsafa ya mwendazake Dr. John Pombe Joseph Magufuli live ktk stesheni ya tv mbalimbali.

Tujiulize hii ina maana CHADEMA ndiyo chama cha kisiasa pekee chenye wanazuoni / makada / wastaafu critical thinkers nchini Tanzania.

Hilo ni la kupongezwa sana chama kuwa watu huru kifikra.
Kiukweli Chadema ina watu makini!
 
Mahudhurio kuwa makubwa hutegemea. Watoa mada pia

Lwaitama ataongea nini? Wangeita wanenaji wa kueleweka mfano Profesa Shivji,Peofesa Lumumba, Mzee Mwinyi Raisi msataafu,Raisi Museveni,Profesa Haroub Othman,Mama Getrude Mongela,Mama Anne Makinda,Mzee Mizengo Pinda,Mfanyabiashara Mzee Sabodo,Edwin Mtei,Kardinali Pengo,Askofu Ngakekumtwa,Askofu Mzee Sendoro ,

Ilibidi watoa mada watoke kote bunge,mahakama,Serikali, NGO,Dini,business community, Wasomi,wanasiasa wa ndani na nje nk ambao wanaomjua Nyerere vizuri .Lwaitama na Nyerere wapi na wapi
Prof. Haroub Othman alishafariki. Jaribu kuwa na kumbukumbu nzuri.
 
Mahudhurio kuwa makubwa hutegemea. Watoa mada pia

Lwaitama ataongea nini? Wangeita wanenaji wa kueleweka mfano Profesa Shivji,Peofesa Lumumba, Mzee Mwinyi Raisi msataafu,Raisi Museveni,Profesa Haroub Othman,Mama Getrude Mongela,Mama Anne Makinda,Mzee Mizengo Pinda,Mfanyabiashara Mzee Sabodo,Edwin Mtei,Kardinali Pengo,Askofu Ngakekumtwa,Askofu Mzee Sendoro ,

Ilibidi watoa mada watoke kote bunge,mahakama,Serikali, NGO,Dini,business community, Wasomi,wanasiasa wa ndani na nje nk ambao wanaomjua Nyerere vizuri .Lwaitama na Nyerere wapi na wapi
Prof Haroun Othman ni marehemu kwa sasa
 
Leo linafanyika kumbukizi la miaka 100 ya Mwalimu Nyerere katika ukumbi wa Costech na linarushwa mubashara na ITV.

Watu waliohudhuria ni wachache wakiwemi waziri mkuu mstaafu mzee Warioba na mzee Butiku.

Mtoa mada ni Prof Lwaitama mhadhiri mstaafu wa Udsm na mwanachama wa Chadema
Ukumbini kuna watu wawili watatu wamevaa combat za Chadema lakini sijawaona wanaccm waliovaa sare

Yaliyojiri;
Makada wa CCM wanahudhuria kwenye makongamano yenye posho na yale ya kiuchumia tumbo tu
 
26 Machi 2022

LIVE: Kumbukizi ya miaka 100 ya Mwl. Julius K. Nyerere, Machi 26, 2022

Dr. Azaveli Lwaitama mada ya udadisi tunduizi kuhusu dhana ya uhuru lazima uende na maendeleo ya watu aliyoisisitiza Mwl. Julius Nyerere

Mdahalo uliotayarishwa na COSTECH kuadhimisha miaka 100 ya kumbukizi ya Mwl Julius Kambarage Nyerere .

Source : ITV Tanzania
 
Back
Top Bottom