Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
Wenzie wanamuangalia tuRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
Siyo yeye ni AIWenzie wanamuangalia tu
Nikisifiwa 24/7 kuwa nambandua vizuri Mkeo nitazipokea.Siku hizi umeanza kuchukia sifa
Wanaosifiwa hivi ni kweli huwa hawajui yote hayo au huwa wanajichomoa betri?Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, aliwahi kusema kwamba anampenda zaidi mtu anayemkosoa kuliko anayemsifia.
Ameeleza kuwa sifa hupunguza nafasi ya kujua kama unakosea, na mara nyingine mtu anaweza kukusifia kwa sababu anataka kitu kutoka kwako.
Chanzo Taarifa: JamiiForums Facebook
Wanaonijua vyema wanatambua kuwa hata Mimi GENTAMYCINE ukitaka Nikuchukie basi Wewe kuwa unanisifia tu 24/7.
Ooh sorry bro,Nikisifiwa 24/7 kuwa nambandua vizuri Mkeo nitazipokea.
Mkuu kule jukwaa la siasa ,tunangojea nondo zako kutoka jikoniNikisifiwa 24/7 kuwa nambandua vizuri Mkeo nitazipokea.