Kumbukizi: Nyimbo za Chrismas za Jim Reeves na Abba group

 

Attachments

  • Jim Reeves - The Merry Christmas Polka.mp3
    4.3 MB · Views: 2
Lazima kuuzunika kupo tukikumbuka yaliyo pita pesa haikuwa sana na nafasi hili upate furaha upendo ulikuwa mwingi sana
Ni kweli kabisa
pesa haikuwa kila kitu, kwenye sherehe watu walijitolea kuni, maji, mapishi sahani nk.. Leo hii kila unachogusa ni shekeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…