KUMBUKIZI | Mwabukusi: Ukiwa mpinzani ni Adui kila sehemu, hata Mahakamani

KUMBUKIZI | Mwabukusi: Ukiwa mpinzani ni Adui kila sehemu, hata Mahakamani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Katika moja ya matamko yake, Wakili Boniface Mwabukusi alizungumza kwa hisia kali kuhusu namna wapinzani wanavyotazamwa ndani ya mfumo wa haki, akisema:

"Ukiwa mpinzani ni adui wa kila sehemu. Hata mahakamani, nimemsikia Jaji mmoja anasema, ‘Mimi siwapendi hawa watu wasumbufu.’ Sasa wewe kazi yako ni kupokea kesi mahakamani — kama unafikiri mimi ni msumbufu, si ondoka mahakamani!"

 
Kinachowapa shida ni maelekezo ya serikari! Kulazimishwa kupindisha haki.
 
MaCCM madhulumu haki yamejazwa kila sehemu inayohusika na haki ili kudhulumu haki.

CCM ni shetani, jitenge na shetani ili kuikimbia laana.
 
Back
Top Bottom