A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Apr 28, 2015 #1 Kuna kipindi maishani mambo yanakuwa fresh alafu kuna kipindi mambo yanaharibika..unafulia kumbuka ilikuwaje
Kuna kipindi maishani mambo yanakuwa fresh alafu kuna kipindi mambo yanaharibika..unafulia kumbuka ilikuwaje
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Apr 29, 2015 #2 hujaeleweka mkuu, tengeneza post yako. sio kama hatutaki kuchangia
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Apr 30, 2015 Thread starter #3 Embu tufahamishe maswahibu yaliyokukuta baada ya kupata fedha alafu baadae pesa ikaisha..