kumbu kumbu mjarabu

apo nawaona Bwana Idd, ndugu Julius na Dada Maria
 
Nilisoma Moshi ambulance yai ilikuwa ni ile wanaanikia kahawa wanaita chekecheke. Kwetu ilikuwa gunia lliloungwa na kujaladiwa ili iwe nzito. Sina picha ila tumetoka mbali.
 
Mkuu na kila inchi ina matatizo yake hii yote husababishiwa na sisi walala hoi kwa vizawadi vya kapelo na fulana tena tunakuwa na furaha tele na hapo tdna basi
 
Mkuu utawala wa amini dada aliwafukuza wahindi na kuwakaribisha waarabu wa libya ni safi na tanganyika nai nyerere alitaifisha mamali teli ya wahindi na waarabu sasa sijui zimeinua inchi iwe kubwa au wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…