Kumbu kumbu mjarabu

Kumbu kumbu mjarabu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-2618518-1D82586800000578-515_964x571.jpg


Hitler visited Italy in 1938 to meet with fellow Axis leader Benito Mussolini. The photos uncovered in Virginia are believed to show him after he viewed Italy's naval fleet
 
Jamaa alikuwa na ushawishi mkubwa sana akipata nafasi ya kuongea. Kwa wapenzi wa movie "Hitler-The Rise of Evil"
 
Hawa jamaa walijenga misingi mingi sana ya tawala nyingi za kisasa

Ila wakatumia mbinu moja kubwa sana ya kuwafanya wengine wasije wakaujua ubora wao na kufaidika nao

Walitengeneza historia fake ili waonekane hawafai

Kama vile ambavyo wamarekani walivyojua faida ya uchawi na kuutengenezea nadharia nyingi sana ili watu waone ni upuuzi

Lakini wao wanautumia na wanajua faida zake!
 
Back
Top Bottom