Siku ukifika home nakukaribisha nao kwanza kama kifungua kinywa kabla sijakuletea kisosi cha kahawa za kutafuna alafu ukija kuondoka nakufungia senene wa kulia njiani... karibu bwikizo center!
Wahaya wanakula wabichi. Wewe kumbe mpwa wa Rugemarira. Kata Sehemu ya Escrow uliyopewa na mjomba wako basi.Huwa napenda kuwala wabichi!wana mafuta sana,ninachojua huwa wanatoka kwenye vichuguu vya mchwa
Hivi kwa Kiingereza wanaitwaje?
Huwa wanatoka wapi wakati wa mvua, maana nashangaa huwa wanajaa gafla, nilishasikia kwamba wanatokea ardhini lakini pamoja na kuchunguza sana sijawahi kushuhudia.
Waweke kwenye Frying pan fungulia moto kwa mbaali mbona mabawa yatatoka yenyeweJamani.hawa jamaa watamu
Ili kuwapika mabawa yake unatoaje??
Maana nmekata weng balaa hapa kagera
Msaada wa kuwatoa mabawa kwa.haraka please??
weka kwenye sufuria au kikaango moto uwe wakawaida kisha fannya kama unakaaanga karanga baada ya mda nikuwapepeta tu mabawa kwishaJamani.hawa jamaa watamu
Ili kuwapika mabawa yake unatoaje??
Maana nmekata weng balaa hapa kagera
Msaada wa kuwatoa mabawa kwa.haraka please??