Ukitoa Dar ni majiji gani mengine yana kumbi za cinema atleast Kila weekend WATU wanaweza jipoza.
Aya Kwa music wapi UNAWEZA sikia Kuna burudani ukiacha bar za mbagala kule atleast kama ni music ya injili au ya Dunia in a weekend tunaweza PATA burudani?
Kama zipo Dar, vipi majiji mengine UNAWEZA mention
Kama hakuna MANAKE je hazina faida? Ni GHALI kuziendesha.
Inatakiwa kuwepo burudani Kila weekend sio Kwa msimu sikuinchristmass, pasaka ,eid SIJUI mwakampya YAANI IFIKE KIPINDI ukitaka kumsikia maandishi fula iwe ni issue ya ratiba sio eti anatoa albam NDO anatulea kiwingu.