Kumbe zimbabwe Wana kampuni ya smartphone?

Gtel hiyo simu Nineitumia Toleo la infinity
Hiyo siyo simu ya Zimbabwe ni kampuni ya Kivietnam inayoitwa GLOBAL TELECOMUNICATION kwa ufupisho wakaita GTEL hii ndiyo kampuni inayomiliki mtandao wa Viettel (Halotel Tanzania)

Kwa hiyo hapo zimbabwe ni tawi tu kutokana na wingi wa wateja na siyo kampuni ya Zimbabwe.. .
 
Back
Top Bottom