#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Zamu ya wala urojo hii tukae kwa kutulia, ukinyanyua mdomo unaweza kusimangwa mpaka ukamkimbia hata mkeo.

Wallahi tumepatikana
 
Kwani mlitaka Znz ipate hela sawa na Tz Bara? Hizo hela nyingi sana kwa Znz.. Tena Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ingeamua kugawa hela za Uviko kwa kulingana na idadi ya watu, Znz ingepata labda Tshs. 30 bil. tu. Sbb Znz idadi ya watu inakaribia 1.9 mil.
 
TE="green rajab, post: 41326197, member: 332448"]
Rais anapeleka pesa zetu kwao ndio maana anakopa tu kama shamba la bibi ake

Atakuletea wewe nyumbani kesho, endelea kulala tu[/QUOTE]Chawa huna lolote kenge tu
 

Vipi unaonaje hili baraza jipya,
linakupa matumaini gani kwa mustabali wa Taifa?

Mfumo gani umeshawahi kukuona kama Huu. Nipe mfano hata mmoja?

In UK, Nothern Ireland Wales ni Size ya Zazinbar. Mtu kutoka England Anaruhusiwa kuishi, kuongoza, ana haki zote.

Dola zote duniani, kama maisha ya binadamu huwa kipindi chake maalumu. Zinapita na zitapita. No exception.

Dola huwa zinaisha ghafla, Roman, British, French, Japanese, Mali, Greater Zimbambwe, Kemet, Spanish Empires ni mifano michache.

Kuanguka kunatokana na kulewa madaraka, kodi kubwa zinazoumiza, kugawanya watu (udini, ukabila ukanda), mfumuko wa bei,chakula, kila kitu, rushwa, ufisadi, maadili, uaminifu na uadalifu, kutowajibika.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…