kwa hyo story za watsap huwa zinajiandika zenyewe?TOKEA UJUE kukopi kucut na kupaste , humu jukwaanii imekuwa fujo na NYUZI zako za kwenye magroup ya WATSAPP ,
Wewe inaonekana ni mtoto mdogo saaaaana tena saaaana na hauzidi miaka 16,eboooo eti acha anisaidie matumizi,sasa anakusaidia kuchimba madini kila siku,na utapata dhahabu nyingi saaaana tena saaaana,maaana anakusidia kuchimba madini joto kule chini ya shimo kenge bluu wewe usie na haya kuhadithia upupu wako,nyambafu maza fanta fankurooo madona.Nina mchumba ambae kiukweli moyo wangu umezia kumuoa, sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko Kanda ya ziwa, alifika mwanza usiku wa nikamshauri aende kwa rafiki yangu hapo Mwanza alale kesho yake aendelee na safari.
Hapo kwa rafiki yangu kuna kijana wa mwenye nyumba ambae pia ni kama rafiki yangu japo sio kivile, sasa mchumba wangu alipokelewa na mke wa rafiki yangu na wakalala pale, kesho yake mke wa rafiki yangu alimsihi abaki pale hivyo hakuondoka.
Kijana wa mwenye nyumba akatambulishwa kuwa huyu ni mchumba wa wa fulani yani jina langu, akachangamka akapewa no ya simu na mchumba wangu. Sasa ili kuuwa soo mchumba wangu alinipigia simu akaniambia jamaa huwa wanawasiliana nae ila akasema mazoea yamezidi na eti hamuelewi kwani huwa anamtumia vocha sana bila hata kumuomba, nilimjibu we acha anisadie matumizi, nilisema hivyo nikiamini kuwa kwa kuwa ameniambia basi hakuna kitakachotokea.
Basi mchumba akawa ananipa taarifa maendeleo mala oo kaninunulia kifurushi, mara leo katuma elfu 10 hapo nikaanza kishtuka wakati huo nilikuwa niko chuoni so nilipomaliza ilibdi niende pale kwa rafki yangu hapo sasa yule jamaa akanipa simu yake iikuwa ina tatizo kidogo nimrekebishie, loo! Ghafla nikaingia kwenye sms, sikuamini macho yangu yani kuna pesa zinatumwa nyingi kuliko ninazoambiwa, kamnunulia hadi smart phone.
Kituko kilikuja nilipomstopisha mawasiliano na yule jamaa aliniambia si ulisema akusaidie matumizi.
Ujumbe wangu kwa wanaume mchumba wako akikuambia kuna mtu ananitaka usizani hampendi, anakupiga changa la macho tu.
Ukhty jamani,suruali yangu itatoboka mwishowe mamii au vipi? nionee huruma naahidi nitakupa pipi mti ya machungwa mamii.[emoji124]
Wewe kaa kimya na usirudie kutuletea ngonjera zako tana bhana eboooo?si
mkuu nawambieni ili muwe makini ukiambiwa flani ananitaka ujue jinsi ya kupiga biti
Ukhty au Ukuti wa Mmeme?[emoji124]
Visivyosaidiwa ni nini hasa?Pole sana, ushasaidiwa hadi visivyosaidiwa.
Sasa na wewe ndio ukafanyaje sasa?kimoja tu na pichu mkononi mbioooooooooooooo,daah sikuamini macho yangu,jamani kumbe wasichana ndo mko hivyo?unamuacha mwenzio na kiu ya maji katikati ya jangwa jua kali tena Sahara desert?nyie wauwaji jamani?Ulichekea mwenyewe! Pole
Ok na mie ulienitaka na nikakupa nyonyo ukanyonya weeeeee,mpaka ukashiba maziwa na asali mbona hujaja kunisemea?au inamaanisha ni kisebusebu na kiroho papoooooo?.Aaaah shunie jamani hebu sema kweli ya undani wa roho yako jamani?ulisikiaje lakini?,maana asifuye mvua imemnyea au vipi?,au siri ya mtungi aijuae kata au vipi?Sisi bana sio wa mchezo mchezo [emoji28][emoji28] halaf wale wanotongoza hatuwataki ndio tunaenda kuwasemea
sijakataa niliyataka nwenyewe...ila ninacholaumu ni unafiki wa hawa mabinti sasa kama akikuwa anampenda kwa nn aje kunieleza upuzi wake....kama na ww ni ke usiwe mnafiki ukitongozwa malizaneni huko hukowe si ulitaka mwenyewe usaidiwe matumizi sasa umesaidiwa unapiga piga mayowe ...