Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 203
ulikuwa hujui?
wenzio tushazoea kubondwa na mai waif zetu.
ulikuwa hujui?
wenzio tushazoea kubondwa na mai waif zetu.
ni vizur mana wanatuonea sana sa ingine
Yaani nyie hata utani wa kwenye mapenzi mnahita ugomvi? mwanaume mwenye hata nundu moja hana harafu mnasema kapigwa. Waongo nyiee!
hahahahaha huyu ka namfananisha na harndzv na mkewe madame B..
wanawaonea au huwa anakuonea??ni vizur mana wanatuonea sana sa ingine