Kumbe wanaipenda CHADEMA!

vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'
 
Kwa Tanzania hizo alama ulizozitaja zinatumiwa na nani?
 
Huyo wa kushoto si ndo mwanachama wa ule mtandao wa 0657?

mkuu unawajua hawa? ni wakina nani? na mbona umeongea lugha kubwa sana hapo? maana wa kushoto na wa kulia wote ni wakiume, au ulikosea kusema kushoto badala ya katikati?
 
Some1 here shud get a life pliz...
Yanini kumtukana mtu humjui hakujui..even if mnajuana ..mtafute mpe kavu ameze maji.. Ukimtukana behind ur screen inaonesha ndo what ure n what u do n everthn u do n wish for! Pliiz.
Live ur life n let them waishi maisha yao!!!
Period..
 
Uko ki facebook zaidi ..!? change your writting style to suit the context. BTW it is just a free advice, the choice is all yours.
 
bythe way.. Wa facebuku wana fanyaje? Huo mtazamo wako uvalie miwani upya. Baba V
 
Last edited by a moderator:
vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'

Wamekariri
 
Mimi Nimeona maandishi ya kwenye Tshirt tu!!! Eti Save Lolipop Suck .........!!!!!!
 
vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'
...wanaikubaliii tu ,acha ubishi..
 
Swts You have a point but kuna mengine mtu anajitambulisha mwenyewe... Tazama maandishi ya T-shirt aliyovaa jamaa wa kulia kama sikosei ni Mchovu jamaa wa redio mawingu,.. asa utamlaumu atakayemuongelea vibaya wakati mwenyewe anajitambulisha vibaya?
 
Last edited by a moderator:
You meant life ban...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…