Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Weka curser kwenye hiyo picha ifunguke pembeni utaona animation hii...hujasomeka .....
Kama vipi?! Weka nawe mada ya hivi ambayo ni CHANYA...kwanini mnapenda kuzitazama ndoa +wanawake kwa mtazamo hasi kiasi hiki?
Kama vipi?! Weka nawe mada ya hivi ambayo ni CHANYA...
easy mkuu!nililomaanisha ni kuwa mara nyingi wanawake na ndo vinatazamwa kama ni mbya 100%,hebu imagine hiyo picha inalinganishwa na mwanamke jinsi anavyobadilika!yani kweli mwanamke baada ya ndoa anakuwa sawa na shetani sijui jini la aina gani!?sidhani!
We jaribu kupost uzi unaom potray mwanaume negatively uone utakavyoshambuliwa kama mpira wa kona!