Kumbe waliiga

Mambo ya kibwenzi na instant noodles...
 
indomie ni chakula cha kizungu eeeh?kwa kiswahili tunakiitaje.....lol
ni aina za tambi ila zinakuwa zishapikwa na kukaishwa,so ukitaka kula unachemsha tu maji then unaimwagia,baada ya dk 5 unakula inakuwa ishalainika
 
ni aina za tambi ila zinakuwa zishapikwa na kukaishwa,so ukitaka kula unachemsha tu maji then unaimwagia,baada ya dk 5 unakula inakuwa ishalainika

Aaaaah duh sikujua ni nini jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…