Kumbe walicopy hapa

Ndege zote kaka zina streamline bodies zinazosababisha kuruka Kwa urahisi.Kuanzia wanyama na ndege Za kutengeneza kiukweli ni kwamba walicopy kutoka Kwa ndege wa nyama.
 
Mleta mada kasema picha ya ndege aitwaye tai (eagle) na ndege ya kivita zinafanana. Pia ndege ya kivita ilitengenezwa kwa mfano wa huyo ndege pori aitwaye tai.

Umeelewa sasa?
Uko sawa mkuu ila inaonyesha wewe kilaza wa ndege huyo si tahi/vulture bali ni mwewe/eagle.
 
Uko sawa mkuu ila inaonyesha wewe kilaza wa ndege huyo si tahi/vulture bali ni mwewe/eagle.

OK Topi, hapo nimepinda, hata hivyo mimi siyo guide ila nimejaribu tu na nimeeleweka. Mimi ni kilaza!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…