Kumbe Vituko Kwenye soka la Bongo havikuanza leo...!!

Kumbe Vituko Kwenye soka la Bongo havikuanza leo...!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,928
Nilidhani ni yale ya nyimbo za taifa kugoma kupiga siku ya mechi ya kimataifa na umeme kukatika siku ya fainali tu, kumbe kuna hili liliwahi kutokea enzi za mwalimu
386302_263105460428957_1213402500_n.jpg
 
duh!kwl socialism nouma!
 
Jezi zilifanana, stars ambao ni wenyeji wakavua jezi.
 
Haikujulikana tangu mwanzo kuwa jezi zitafanana??

Nadhani teknolojia ya mawasiliano haikuwa juu kama leo. Halafu nadhani kwa kuwa ilikuwa mechi ya kirafiki mambo ya pre-match meeting hayakupewa uzito stahili...
 
Haha haaa.......! President you see....? Hii mechi ilileta mambo sana na ndo ilisababisha hii laana tuliyonayo hadi leo.
 
Hahaha! Dah! Sikuwahi kusikia kabisa hi story du!
 
Back
Top Bottom