johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,445
- 142,700
Huu mradi ulibuniwa kizalendo sanaVizuri kama walitumia watu wetu.
Hivi usanifu maana yake nini
Mkuu Contractor kamwe hafanyi usanifu.TRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Usanifu wa mradi na Kazi za ushauri
Endapo tungetumia washauri wa Contractor kama ifanyikavyo kwenye Miradi mikubwa basi gharama za Ujenzi wa SGR hii ingekuwa kubwa sana, amesema Masanja Kadogosa
Ubunifu wetu umetufanya tuokoe Fedha nyingi za Kigeni, amesisitiza
Ikumbukwe pia SGR yetu ndio Bora ukilinganisha na hizo za nchi nyingine zinazotajwa tajwa kwenye mitandao ya Kijamii
Source ITV
Upembuzi yakinifuMkuu Contractor kamwe hafanyi usanifu.
AsanteeArchitecture!! Ile mirchoro ya reli itapita wapi, majengo yatafananaje nk.
Upembuzi yakinifu kuhusu mradi fulani ni kitu tofauti na usanifu au designing na ni tofauti na construction ya huo mradi. Hakuna hata siku moja kwenye mradi wa ujenzi Washauri wanaosimamia ujenzi wakaletwa na Mkandarasi anayejenga.Upembuzi yakinifu
Amesema Washauri wanaletwa na Mkandarasi
Pongezi ziende kwa hayati Magufuli kwa kuwaamini wahandisi wa kitanzania,kadhalika pongezi wahandisi hao kwa kazi nzuriTRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Upembuzi yakinifu wa mradi na Kazi za ushauri
Endapo tungetumia washauri wa Contractor kama ifanyikavyo kwenye Miradi mikubwa basi gharama za Ujenzi wa SGR hii ingekuwa kubwa sana, amesema Masanja Kadogosa
Ubunifu wetu umetufanya tuokoe Fedha nyingi za Kigeni, amesisitiza
Ikumbukwe pia SGR yetu ndio Bora ukilinganisha na hizo za nchi nyingine zinazotajwa tajwa kwenye mitandao ya Kijamii
Chanzo: ITV
Naomba hii iwe marked kama moja ya kazi bora kabisa za wahandisi wetu wa ndani..TRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Upembuzi yakinifu wa mradi na Kazi za ushauri
Endapo tungetumia washauri wa Contractor kama ifanyikavyo kwenye Miradi mikubwa basi gharama za Ujenzi wa SGR hii ingekuwa kubwa sana, amesema Masanja Kadogosa
Ubunifu wetu umetufanya tuokoe Fedha nyingi za Kigeni, amesisitiza
Ikumbukwe pia SGR yetu ndio Bora ukilinganisha na hizo za nchi nyingine zinazotajwa tajwa kwenye mitandao ya Kijamii
Chanzo: ITV
Hata barabara tunapima gharama kwa kilometer, punguza makasiriko!Huyo mpumbavu katoa mfano wa SGR angalau 4 za Afrika kwa kutaja urefu na ubora pamoja na gharama za jumla?
Wasitufanye wajinga.
TRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Upembuzi yakinifu wa mradi na Kazi za ushauri