Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Jamaa mmoja jirani yangu ni msaf sana hadi mchumba wake waliotarajia kufunga ndoa december kasepa
1.chumba kinadekiwa karibu mara 20 kwa siku
2.akiingiia mgeni yeyote hata aliyekua mchumba ake akikalia makochi,vitambaa hivyo hubadilishwa mara moja kisha hufuliwa
3.huosha kwa brash na sabuni bomba la maji kabla ya kuteka maji
4.huosha pia kamba ya kuanikia nguo kwa brash na sabuni kisha huanika nguo zake
5.kabla ya kuoga husafisha au hudeki bafu kwa sabuni ya unga kisha huoga
6.hunukia pafium kila wakati na chumban kwake pia
Yaani ni msafi mpaka majirani wanamuogopa.
Sasa jana kuna dada alikuwa anamtania ya kuwa usafi alionao sio bure aende akaombewe na pia sio rahis kumpata mwanamke atakayekuwa msaf kiasi hicho, ndio huyo mchumba ake kasoma alama za nyakati kasepa
Amakweli kila kitu kikizidi hata kama ni kizuri huwa kero pia