G7 wakiamua leo kwamba tz ni mwenzao kunakuwa hakuna pingamizi na on the spot inakuwa G8 utakumbuka kuna kipindi hayati rais Mkapa aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa Globalization na karibu wake alikuwa rais wa Finland wakati huo sasa jifikirie huyo mzee kwenye hicho kikao alikuwa anaongea nini hasa ukizingatia angalau Finland wanatengeneza Nokia, malori ya SISU Valmet etc sasa sisi tz ukiondoa kula tunda kimasihara tuna nini?Urusi aliingizwa ki'heshima' tu kwa kuwa ana 'nyuklia' vinginevyo wamemsusa π π π
USA ni nchi iliyoendelea sana...G7 ni nchi zilizoendelea sana. China, India,Brazil nk ni nchi zinazoendelea....
Wavuta bangi bwanaG7, NATO, EU, UN, IMF, WB hivi ni vichaka vya US kwenye kuendeleza sera zake mama za upinde [emoji304], NWO nknk
Unapewa facts za wadau umekalia kukaza fuvu tu.
Ushaambiwa Russia aliondolewa 2014 due to Diplomatic conflicts.
Uchumi wa China ni karibu x10 ya uchumi wa Italy lakini China haimo.
Acha kukaza fuvu.
Hujui kitu....Ukisikia kilaza Pro Max ndo huyu [emoji23][emoji23]
G7 haiamuliwi kitandani...G7 wakiamua leo kwamba tz ni mwenzao kunakuwa hakuna pingamizi na on the spot inakuwa G8 utakumbuka kuna kipindi hayati rais Mkapa aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa Globalization na karibu wake alikuwa rais wa Finland wakati huo sasa jifikirie huyo mzee kwenye hicho kikao alikuwa anaongea nini hasa ukizingatia angalau Finland wanatengeneza Nokia, malori ya SISU Valmet etc sasa sisi tz ukiondoa kula tunda kimasihara tuna nini?
Hujui kitu...Ukisikia kilaza Pro Max ndo huyu [emoji23][emoji23]
Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?[emoji848]
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?[emoji848]
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huwa wanamwalika Urusi mara moja moja na kwa aibu wanajiita G 8.G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Chakushangaza apo china awajamuweka[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana ila wote hao waliotajwa hapo juu wamemuacha mbali mrusi.
Nchi 7 zenye nguvu za kiuchumi dunianiNini Maana ya G7 ?
Urusi ilikuwepo ikatolewa acha upimbiUpinde hao kama upinde ulivyo na rangi saba na ndio maana na wao wajichagua saba
Nikiacha upimbi utapata niniUrusi ilikuwepo ikatolewa acha upimbi
China yeye yumo kwenye hiyo G7?Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?[emoji848]
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anayeongea haya ni pro NATO mmoja wa buza!Mpuuzi sana huyu Putin , Yaani gas Yote amewapa wapiga deal nchi inabaki masikini .
Na kutengeneza hayo MACHUMA yake ya Zamani ya kivita . Maanina zake Putin.