Kankwale Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 131 Reaction score 20 Jul 2, 2012 #1 Nimemsikia Boniface mkwasa akikana kuwa dadazetu hawajishughulishi na usagaji kama vyombo vya habari vinavyo ripoti, kumbe kambini hawajifunzi soka tu ni pamoja na Malavu davi?nimesikia kwenye kipindi cha michezo radio times saa1usiku
Nimemsikia Boniface mkwasa akikana kuwa dadazetu hawajishughulishi na usagaji kama vyombo vya habari vinavyo ripoti, kumbe kambini hawajifunzi soka tu ni pamoja na Malavu davi?nimesikia kwenye kipindi cha michezo radio times saa1usiku
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jul 2, 2012 #2 Mbona yeye mwenyewe ndie alinukuliwa akisema mojawapo ya sababu za kushindwa ni wachezaji kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Mbona yeye mwenyewe ndie alinukuliwa akisema mojawapo ya sababu za kushindwa ni wachezaji kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Jul 2, 2012 #3 Tumeshaambiwa ni starehe kama starehe zingine!!! kweli kuishi kwingi kuona/kusikia mengi!!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 3, 2012 #4 Halafu yule mama mkurugenzi wa michezo aliyetetea usagaji kambini naye ni msagaji tu.