Kumbe twiga star wasagaji?

Kankwale

Senior Member
Apr 5, 2012
131
20
Nimemsikia Boniface mkwasa akikana kuwa dadazetu hawajishughulishi na usagaji kama vyombo vya habari vinavyo ripoti, kumbe kambini hawajifunzi soka tu ni pamoja na Malavu davi?nimesikia kwenye kipindi cha michezo radio times saa1usiku
 
Mbona yeye mwenyewe ndie alinukuliwa akisema mojawapo ya sababu za kushindwa ni wachezaji kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
 
Tumeshaambiwa ni starehe kama starehe zingine!!! kweli kuishi kwingi kuona/kusikia mengi!!
 
Halafu yule mama mkurugenzi wa michezo aliyetetea usagaji kambini naye ni msagaji tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom