Ili kuleta ufanisi TANESCO inabidi ivunjwe mara mbili, iwepo TANESCO uzalishaji umeme na TANESCO usambazaji umeme. Kwa kufanya hivi hali ya uwajibikaji itaongezeka.
Mkuu hili la kukunja mikono, kuchora nne na kulala usingizi wa pono pasipo kufanya kazi silo tunalomaanisha
Tungekuwa tunaweza tungekuwa tumeshafanya....
Uwezo upo, sababu zipo, nia ipo!
Umeona tangazo la BBQ ya Mlimani?
mimi naamini inawezekana kwani uko walikoweza wamekuwa parachuted from the Mars?Tungekuwa tunaweza tungekuwa tumeshafanya....
mimi naamini inawezekana kwani uko walikoweza wamekuwa parachuted from the Mars?
Nimeliona na siji ng'o!! Mwandaaji mwenye Jump Around kwa hiyo lazima itakuwa ni ubishoo bishoo tu....
Uwezo tunao lakini nia hatuna
Nia ipo, kinachokosekana ni kitu kingine kabisa!
Huwezi kukaa tu Mungu akakupa maendeleo.
Kumuamini au kumuomba Mungu hakuna uhusiano wowote na maendeleo
Asians kama Wajapani na Wakorea hawaamini Mungu lakini wanamaendeleo, wazungu hali kadhalika
Ingelikuwa kumuomba Mungu kuna uhusiano wowote na maendeleo hawa wasingepata
Maendeleo yanakuja kwa juhudi, mipango, mikakati, uwajibikaji sio kuomba Mungu
mimi naamini inawezekana kwani uko walikoweza wamekuwa parachuted from the Mars?
Vipi una bifu na tozi mwenzako JP? NW atakuwepo, jana nimekutana na maza wake!
kitu gani hicho kamaradi?Nia ipo, kinachokosekana ni kitu kingine kabisa!
Comrade NN tunaweza mno ila elimu yetu imelegalega hasa miaka hii na usimamizi mbovu wa rasilimaliaaah wapi hatuwezi bana. kama tunaweza na tufanye basi.....
kitu gani hicho kamaradi?
Wana JF nimekaa na kutafakari sana kuhusu suala la mgao wa umeme ambalo mwisho wake hakuna ajuaye. Lakini mara zote tunawalaumu TANESCO kwa kuwa ndo tunaowaona wakikusanya vibil vyao kila kukicha. Angalia hii, tanesco ni shirika la ugavi wa umeme tz. Kumbe hawa jamaa hawazalishi umeme, kazi yao ni kugawa kwa watumiaji tu. Kwa hiyo ukiona umeme unakatika mara kwa mara, cha kwanza tumuulize mzalishaji, yeye akisema kuwa anazalisha then ndo tuwaulize tanesco kulikoni. Swali la kujiuliza hapa ni kwamba, nani anazalisha umeme? Tanesco walitakiwa wafanye kazi na Tanegco:- Tanzania electric generation corp, bahati mbaya tanegco haipo. Nasema tanesco hawazalishi umeme, isipokuwa tutawalaumu kwa ubovu wa mitambo yao. Nawasilisha.

kwahiyo unamaanisha kuwa watanzania wa 1990s hadi 2000s hatuna ujasiri wa 1960s hadi 1970s?Ujasiri/Uthubutu wa Kutenda...
Msidhani sababu, nia na uwezo vilitosha kumpiga nduli - kulikuwa na ujasiri/uthubutu pia!