Kumbe tanzania haina serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe tanzania haina serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Mar 12, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Rais wa Tz alinukuliwa akilalamika chadema wanataka kuvuruga amani,akafuatiwa na mawaziri wake,leo waziri wa mambo ya nje naye analalamika,viongozi wote wanalalamika,
  najiuliza kama kweli Jk ni rais wa JMT,Na moja ya kazi yake kuu ni kulinda nchi,inakuaje kuwepo na ushahidi wa chama flani kutaka kuleta fujo washindwe kuchukua hatua?
  My take
  Slaa ndio rais na chadema ndio chama dola maana kwa hali ilivyo sasa Jk anatekeleza yote anayoamriwa na cdm
   
 2. J

  Joshua Mkulima New Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Hili swali nilijiuliza saana na sikuwa na jibu. Kama rais wa nchi analalamikia chama cha ypinzani bila kuchukua hatua, hii ina maana gani? Au ni kuwa sasa ameshakosa mamlaka na anajishtaki kwa wananchi kuwa mamlaka yake yamechukuliwa na chadema? Sijui yeye anajionaje ktk jamii ya kimataifa!!!!! Sijui kwa kweli!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu usione JK analalamika ukafiri hawezi kuchukua hatua! JK ni rais with all power in his hand, shida ni ku deal na mtu kama Slaa inahitaji akili nyingi kuliko nguvu. Laiti ungelikuwa na macho ukapata mikakati serikali na CCM kwa ujumla inayopanga kutekeleza utagundua kweli hakuna kulala.
  Wewee huoni CCM inataka kujivua gamba plus mbinu chafu ikiwemo kuipoteza uhai ikibidi kisha useme hakuna hatua. Akina Slaa wao wenyewe wanaelewa ni vipi waruke vihunzi kutokakana na mitego iliyowekwa, kifupi ni hatari.
  Mkuu wa nchi akiri hadharani wewe ni kikwazo kwa uongozi wake, akose usingizi kwa ajili yako kisha akuchekee eeeeeh. Haya.
   
 4. Coza Mhando

  Coza Mhando Senior Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  craaaaaaaaaaaaaaaap
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  cdm watachukuaje mamlaka ya raisi?
   
 6. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kinachoichanganya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba: Hawana kiongozi anayeweza kuwaweka pamoja wakajadili mambo yoyote ya maana kwa kuwa kuna makundi mawili, matatu au zaidi ndani ya Baraza la Mawaziri na wanaogopana.
  • Kuna mzee JK, Makamu wake, Mzee Pinda, Wasira nk. Mawaziri wanaofuata kundi hili ni watii kwa rais na maslahi yao wameyaacha mikononi mwa JK. Akionekana kutowajali tutajua kundi lao halisi miongoni mwa makundi yaliyobaki.
  • Kundi la pili ni la watu wa RA completely kama Ngeleja, Mh. Jaji Werema nk. Hawa ni wale ambao muda wote wameonekana kutetea malipo ya Dowans. Hawa jamaa wapo tayari kumsahau hata JK lakini RA apate chake kwa kuwa kinaweza kuwafaa hapo baadaye.
  • Kundi la tatu ni la akina Sitta, Mwakyembe nk. Sifa kubwa ya watu hawa ni kwamba wapo tayari hata kufukuzwa uwaziri lakini RA asilipwe kwa kuwa kupatikana fedha za RA ni tishio kwa nafasi zao za Ubunge na katika Vikao vya chama next chaguzi.
  • Pia kuna Waziri kama Magufuli ambaye kwa analysis yangu atakuwa ama anafanya kazi kwa kufuata sheria kwa dhati (na hata kama hafuati basi itakuwa ni kwa nia ya kujijengea heshima binafsi kwa kuwa huyu si mmoja wa wanamtandao ambao kimsingi ndo wamegawanyika katika makundi)
  Kutokana na mgawanyiko huo, na kwa kuwa tayari kundi la Sitta lilishadai rais amezidi upole (wakimaanisha uoga wa kuchukua hatua dhidi ya rafiki zake mafisadi) JK anao wakati mgumu sana kuwaweka pamoja watu hawa na kujadili ni namna gani washughulikie swala la CDM.

  Tatizo lingine ni Slaa mwenyewe. Huyu Dr. utadhani ana hisa ndani ya TISS maana watapanga mikakati yao weee...! mwisho watamletea taarifa. Inawezekana hapo alipo Slaa ana mabomu zaidi kuhusiana na ufirauni wanaoufanya kina JK, EL na RA. Hofu yao ni kwamba wakimvamia na kumtia nguvuni watawaamsha wale 26% (baada ya Uchakachuaji Mkubwa) na nchi inaweza kuingia katika vurugu ambazo mwisho wake lazima watawajibika siku moja na hawataki hilo. Hapo bado hawajui mabomu anayatunza nani (si mabomu kamba ya Gongo la Mboto bali siri za ufisadi).

  Hadi anaamua kukiri kushindwa ktk hotuba ya mwezi Feb. ujue JK alishaanza kuona jinsi ambavyo wananchi wanaamka ghafla kuliko matarajio yake.

  Kwa ufupi niseme, JK hana watu wenye mbinu karibu yake kwa sasa ndo maana unaona miropoko imekuwa mingi.

  Serikali ipo na haingozwi na Slaa wala CDM ila imeparaganyika ile mbaya. Walau Rostam mwenyewe aliyesababisha JK kukosa nguvu ya kutawala angeamua kuionea huruma serikali na kuwaacha wajiendeshe kwa kutumia busara pasipo kuogopa yeye (RA) ataonaje.

  Mungu isaidie serikali yetu. Japokuwa ni chafu sana, tunaomba japo uipe uwezo wa kujisafisha na kurejesha japo 1/4 ya hadhi yake.
   
 7. theophilius

  theophilius Senior Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  watawala wetu wanajua hawana tofauti na Tunisia/misri ambako chaguzi zilikuwa zinafanyika na watawala wanashinda uchaguzi kwa kuchakachua yalipokuja maandamano na shinikizo la umma kulikuwa hakuna uchakachuaji. kama CCM na wagombea wake hawakuchakachua, iweje umma uliowaweka madarakani kwa kushindi miezi mitatu baadaye uandamane kuwaondoa madarakani, ushauri wangu wa JK na wenzake ni kwamba walale usingizi wa raha wasijali zile 'kelele za chra' walizowahi kusema kama kweli waliingia madarakani kwa sera zao bila mbinu yoyote chafu maana hakuna hata mmoja aliyewapigia kura atakayeingia mitaani kuwataka watoke mataani, vinginevyo kama jinisi walivyosinda nyazifa zao ni siri yao, basi angalau wasikie kile kinachovutia maelfu kwa maelfu kwenye mikutano ya CDM wakifanyie kazi! kama ni kufikisha mafisadi katika vyombo vya sheria wafanye hivyo, kama ni kuacha kujiregeza kwa Rostam ambaye anaoneka kuigeuza uku na kule serikali na taifa, ni rahisi kuhepuka rafiki mmoja kwa ajili ya kuwageukia mamilioni ya watanzania, haya yanaweza kufanyika ndani ya suku saba ambazo JK alisema anahitaji uatwala wake kutekeleza matakwa ya wananchi wanaounga mkono CDM, mengine yanaweza kufuata!
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  ze utamu ? Jk na sirikali yake imekuwa chekecheke na hawajui cha kufanya ,maana cdm ndio ilishinda akaiba. Ngoja tuone kivuli chake kitaishia wapi maana suna,i ya Japani haiko mbali
   
 9. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mbona umetumia muda mrefu hivi kujua ukweli huu!?
   
 10. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Jk ni sawa na mashine ya toyota mark 2 hp 15 na Slaa ni mashine ya international hp 600 hapo linganisha ipi inanguvu kuliko nyingine?
   
 11. B

  Bibi Ntilie JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 245
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [/QUOTE]Serikali ipo na haingozwi na Slaa wala CDM ila imeparaganyika ile mbaya. Walau Rostam mwenyewe aliyesababisha JK kukosa nguvu ya kutawala angeamua kuionea huruma serikali na kuwaacha wajiendeshe kwa kutumia busara pasipo kuogopa yeye (RA) ataonaje.

  Mungu isaidie serikali yetu. Japokuwa ni chafu sana, tunaomba japo uipe uwezo wa kujisafisha na kurejesha japo 1/4 ya hadhi yake.[/QUOTE]

  Kama hivi ndivyo basi inashangaza sana kuona mtu mmoja ama wawili wanayumbisha nchi na kutuyumbisha Watanzania zaidi ya milioni 40!

  Hapa tulipofika sioni jinsi ambavyo tunaweza kujisafisha. Tusubiri Muujiza wa Mungu!
   
 12. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Meli inakwenda mrama na itazama muda si mrefu...
   
Loading...