Nimeshachoka kila siku kushutumiana tu mara ooh wazaramo wanamdomo,mara ooh wahaya sijui nini,mara ooh wabena wachawi.
sitaki kabila mimi
Wacha kujidanganya na kujishebedua weye. Huko ni kuukana uasili wako...huwezi kwenda mbele bila kuangalia utokako. Huo ni upofu wa akili na ufinyu wa mawazo na zaidi niulimbukeni ulio peya.
Weka hoja mkuu! Kwani kabila ndo asili ya mtu?
Bado hoja zako hazina mashiko! Leta hojakabila unalo sana ila kwasababu u mtumwa na umetekwa mpaka kiitikadi. kimawazo. kisiasa na kidini ndio unaona huna kabila kwani hujiamini na unahofia kuji identify na ndugu zako. mwehhh we. au mshenzi wataka kusaha mashenzini kwenu.
Wacha kujidanganya na kujishebedua weye. Huko ni kuukana uasili wako...huwezi kwenda mbele bila kuangalia utokako. Huo ni upofu wa akili na ufinyu wa mawazo na zaidi niulimbukeni ulio peya.
Uko sawa master! Karibu ktk utawala mpya kabila ni kusumbuana tu.Mkuu unacho sena unakosea .....just imagine baba yangu ni wa mji kasoro bahari mama yangu wa iringa mi sijui kuongea kilugha chochote sasa mi nina asili gani ....fine nitasema mi wa moro hatakuongea sijui zaidi ya kiswahili ........just imagine my kids wataongea language gani kama siyo swahili ........sasa utaniambia mimi limbukeni kivipi......jamaa anapoint sema wewe unadhani au unaona ni siasa na hilo ndi tatizo letu......lets change
Wewe ni kabila gani?Wanajamvi!
Baada ya kutafakari kwa muda na kwa kina kuhusu makabila yote duniani. Nimeamua niwe sina kabila.hii ni kwasababu
1.Mwanadamu wa kwanza (ADAM) Ambae wanadamu wote tumetokana nae alikua hana kabila.
2.Kutokua na kabila kutaniweka huru na kashfa zote zinazoelekezwa kwa makabila ya hapa nchini,kama majivuno,ubishi,wizi,ubahiri n.k
3.Kutokua na kabila kutaniweka huru na tamaduni zote ambazo zimepitwa na wakati kama ukeketaji,nyumbantobo,kuoa ng'ombe 70 n.k
My take- sijaona faida hata 1 ya kabila nipo huru sasa karibu ujiunge nami.
Wewe ni kabila gani?
Wewe ni kabila gani?