Kumbe shamba la bibi nalo linawekwa paa!

Kumbe shamba la bibi nalo linawekwa paa!

Shedafa

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2008
Posts
802
Reaction score
176
Nimepita maeneo ya uwanja wa taifa leo jioni nimeshangaa, kumbe shamba la bibi nalo linawekwa paa!, jitihada nzuri hii. Kumbe watu wanafanya mambo yao kimya kimya na kimya kingi kina mshindo mkuu, Hongera!
 
Tatizo wabongo hamfuatilii habari!! baada ya uwanja mpya kuisha kilichokuwa kinafuata ni kuuboresha shamba la bibi ikiwa ni kuzungusha majukwaa,kuweka paa kote pamoja na viti. awamu ya tatu ni kujenga indoor stadium ya kisasa ambapo itakuwa awamu ya mwisho.Pesa zilitolewa na wachina.
 
Ooh kumbe, jambo zuri basi. Ila wasiweke vitu kama vya uwanja wa Taifa, vya kutafutia watu lawama bure. Waweke viti vitakavyojikunja, ili waweke fedha kwa ajili kubadili vya uwanja wa Taifa siyo kulaumu watu wakati wote. Viti ni tatizo,hata hao wanaosifiwa kwa utunzaji hawawezi kuvitunza viti vile. Wakati wa kutoka ni mtihani, ukishawishika ukikanyage kwa ajili ya kuhama line tu imekula kwako.
 
Back
Top Bottom