Kelvin A. Mtoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 208
- 187
I
Kwanza pole sanaNdugu wanajanvi, tangu matokeo ya darasa la saba yatangazwe, nimekuwa nikiwasaidia watu mbalimbali kupata matokeo yao kupitia cm yangu ya mkononi. lkn nimekutana na maajabu. Yaani mwanafunzi aliyepata Kisw D na mengine yote E, amepass kwa grade D. lkn aliyepata Science D na mengine E, ana Grade E. Shule ni Omundongo ipo mkoa Kagera wilaya Misenyi. Wanafunzi hao ni P.....-046 na P...- 38. Maanake mwenye possibility ya kuwenda O-level ni wa Kiswahili....!!!