Kumbe rangi nayo muhimu?

Kumbe rangi nayo muhimu?

Kama weusi ni watam, why wanaume wanapenda wanawake weupe hadi wengne wanajichubua na Makarolaiti ili wapendwe?? Mi nahisi mtu kuwa MTAMU ni Natural kama ilivyo kwa vitu kama Matunda mfano machungwa unakuta yanatofautiana utamu, mengne makali mengne matamu na mengne unakula tu kwakuwa ni tunda means hayana LADHA.
 
Back
Top Bottom