Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,335
- 72,798
Nimeshtuka sana kwa habari nilizozipata kutoka Dodoma kwa watu walio ndani ya viunga vya Bunge kuwa kumbe haya matusi kwa wabunge na lugha chafu ni mpango mkakati ulioandaliwa ili kutiana hasira na kusababisha vurugu zitakazo watoa nje au kugombana wabunge na kutengeneza habari ya kujadiliwa makusudi.
Sababu hasa ni kuwa Hotuba ya Kambi ya upinzani iliyosomwa na Tundu Lissu ambayo imeibomoa serikali na kumwacha wazi AG Na Waziri wa sheria Mwakyembe.
Imeivua nguo serikali na sasa kumekuwa na mijadala mingi ndani ya makundi ya wasomi ambao wameona kuna kasoro nyingi za kisheria katika michakato mingi inayoendelea na kuwa kuna watendaji wanatumia advantage ya Magu kutojua sheria kumpotosha.
Mpango mkakati huo unatumia baadhi ya wabunge kutoa lugha za kuudhi na matusi huku Naibu Spika akiwapa support na wapinzani wakichukia na kuleta tafrani hivyo kubadili agenda.
Hivi tumefika huko kwenye mbinu za aina hii?