Kumbe Puma Energy ni kampuni ya Serikali!

Athari ya kuwa na vilaza Wengi nchini...
Kweli kabisa mkuu. Vilaza ni wengi sana uku kwenye uchumi na biashara uwakuti. Kazi wao kushangilia siasa za kipuuzi upuuzi tuuu zisizokuwa, na mbele wala nyuma
 
Nilivyoona tu wamenunua mashine za tra kwa fujo nikashtuka kuna mchongo wamepewa soon nikaona ban kwa vituo vingine vya mafuta nikajua tu serikali inachake pale
 
Kumbuka wenye mafuta na bomba ni kampuni ya TOTAL ambayo ipo nchini Tanzania siku nyingi.

Inawezekana vipi Puma ambayo haina mchango wowote kwenye bomba na mafuta wawe ndio wasambazaji wakuu wa mafuta hapa nchini Tanzania?
 
Ni biashara tu itafanyika.
 
Nilivyoona tu wamenunua mashine za tra kwa fujo nikashtuka kuna mchongo wamepewa soon nikaona ban kwa vituo vingine vya mafuta nikajua tu serikali inachake pale
Hahahaaaa..,...mkuu hiyo ni utii bila shuruti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…