Mommadou Keita
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 230
- 238
Kweli kwa mtazmo huu, Diamond ni king'asti tu maana hata kwa Wema nako alikuwa akisaidiwa na kigogo wa ikulu, huku kwa Penny nako Kigogo wa CCM.mmmh tutasikia mengi.
Kweli kwa mtazmo huu, Diamond ni king'asti tu maana hata kwa Wema nako alikuwa akisaidiwa na kigogo wa ikulu, huku kwa Penny nako Kigogo wa CCM.

Ha ha ha kigogo wa ccm aweza kuwa Savimbi
Kweli kwa mtazmo huu, Diamond ni king'asti tu maana hata kwa Wema nako alikuwa akisaidiwa na kigogo wa ikulu, huku kwa Penny nako Kigogo wa CCM.
natamani kuwajua hawa vigogo
binamu ...ukiwajua iweje!maana yaonyesha wanasubiri vijana yaonyesha njia! ila ujue waweza kuwa design ya kina jump kapuyanga.....
Shosti nawe umo eeeh!!! Haya ukijua utuhabarishe plz... msalimie Mapi
Hahahaaaa.... lol.... umenichekesha eti pale kati ni hatari...
Raha ya umbea kuwajua wahusika......nimekumiss halafu