Ikitokea ikachapishwa noti mpya ya say 15,000 au 20,000 shilingi za kitanzania, maana yake uchumi unazidi kudorora, inatakiwa thamani ya shilingi iimarike na kukua mpaka noti za 10,000 zitolewe kwenye mzunguko , turudi kwenye kutumia sarafu za shilingi 10,20 na 50. Then tuondoe 5000 na 2000 turudi kwenye shilingi 1,2 na 5. Siioni namna ya kufanya uchumi wa Tanzania kukua kurudi kwenye kutumia thumuni. Hiyo ni mada ya kipekee yake.