Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,350
Nimecheka mno! Hahahahahaaaa.... You made my day. Lol
Msanii... I wish you a wonderful and Lovely day. Happy Birthday :grouphug:
Tatizo hujatuma card za mwaliko bana. Hebu mention a few washtuke kidogo, maana hapa naona wadogo zangu kwa baba watoto Kaizer wana bidii na hawajatia mguu, si wachoyo wa salamu hawajaona tu. CC gfsonwin, DEMBA
haa haaa mwenzangu tutavamiaje birthday za watu bila kukaribishwa? btw happy birthday Msanii umetishaaa!!
Last edited by a moderator: