nina nchi sita
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 269
- 146
Hahahaha, daahh ungeleta huu uzi kabla ya hayo yooteeYaani wakati tuko mbeya alikuwa demu wangu tukiwa la saba, ila mi nikafeli ye akaenda kidato
Sema bado nikawa nikipata chance napiga pampu kama ida. Mziki ni alipoenda advance ndio tukapoteana mazima
Sa mwaka jana mwishoni nakutana nae songea mi hali taght ila ye kaoga, sema hakujali mi nikawa naendelea kupakua zigo
Sasa leo ndio pita pita insta hivi nakuta mchizi ambae ni rafiki angu amempost eti ni mkewe!!! Nikashangaaaa
namuuliza mchumba ananambia ni kweli mchizi ni mmewe, afu anaongeza kuwa ana ujauzito na ana uhakika ni wangu..!!!
yaani hapa nilipo mambo hayaendi nimepagawa afu ukizingatia mwenye mke ni mchizi wangu
Embu nisaidieni kijiushauri chochote cha kunisaidia
Nimuachie zigo kimya kimya!!?Duuuh dunia ni sehemu ya kufanya kila kinacho wezekana
Hapo kama hujatambulishwa na mchizi wako kausha kimya
Ukikurupuka tu utaharibu kila kitu
Una uhakika ujauzito ni wako? Mpaka uchanganyikiwe? Si ameolewa mtoto ataenda huko kwenye ndoa?
Ndio we kubali umeshindwaNimuachie zigo kimya kimya!!?
Sasa kwani nilijua nguduMkibakwa mnalalamika na kujiua
Nenda ukachizike nae, story yako haijanogaYaani wakati tuko mbeya alikuwa demu wangu tukiwa la saba, ila mi nikafeli ye akaenda kidato
Sema bado nikawa nikipata chance napiga pampu kama ida. Mziki ni alipoenda advance ndio tukapoteana mazima
Sa mwaka jana mwishoni nakutana nae songea mi hali taght ila ye kaoga, sema hakujali mi nikawa naendelea kupakua zigo
Sasa leo ndio pita pita insta hivi nakuta mchizi ambae ni rafiki angu amempost eti ni mkewe!!! Nikashangaaaa
namuuliza mchumba ananambia ni kweli mchizi ni mmewe, afu anaongeza kuwa ana ujauzito na ana uhakika ni wangu..!!!
yaani hapa nilipo mambo hayaendi nimepagawa afu ukizingatia mwenye mke ni mchizi wangu
Embu nisaidieni kijiushauri chochote cha kunisaidia
Itabidi nikuagize unipekekee reportNenda kwa mchizi wako umueleze na we we upigwe Pump
Hebu declare interest yako kwanza, unachohitaji ni nini haswa? Hiyo mimba? Unnahitaji isijulikane au, yaani ni nini hasa wewe unachohitaji.Se
Nikae kimyaa yaani kana cjui sio
mambo ya akina Muna, Peter na CastoUna uhakika ujauzito ni wako? Mpaka uchanganyikiwe? Si ameolewa mtoto ataenda huko kwenye ndoa?
Sasa sijui analalamika nn wakati alikuwa anafanya siri kumla huyo bintiVunga tu ...unagwaya nini mtoto wa kiume...wanaume hatulalami bana...we piga kimya kama sio wewe..
Anaogopa asije akaundiwa tume atatuliwe marinda....Sasa sijui analalamika nn wakati alikuwa anafanya siri kumla huyo binti
Mi sio age yako jomba enzi yetu la tano MTU unafumua watu tayari. Afu andika vizuri uelewekeSasa ushauri wa nini unataka? Wewe utaoa mwanamke ambae hapampiwa? Utampata wapi?
Mkiwa darasa la saba alikuwa demu wako!!!! Lasaba una demu?