Uyanjo family
Member
- Oct 19, 2019
- 69
- 101
Kwa sisi ambao hatujui kuwa Computer ina vipande mje hapa tujadili kidogo




View attachment 1238375
Kwa sisi ambao hatujui kuwa Computer ina vipande mje hapa tujadili kidogo
😂😂😂😂😂Walichomoa batani ya kuzimia/kuwasha. Wakachomoa key-board.....![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Watanzania ipo siku watachoka kudanganywa.
😁😁😁😁Walichomoa batani ya kuzimia/kuwasha. Wakachomoa key-board.....![]()
Tena la kihindiPicha limeanza
Hatari sanaCompyuta sio kama muhogo iwe na vipande




Hatari mkuuNguruwe sili lakini mchuzi wake nakunywa![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Walichomoa batani ya kuzimia/kuwasha. Wakachomoa key-board.....![]()
😂😂😂Mkuu sio tena dawati watasema walichomoa misumali lakini mbao zote zipo salama.Wanaona bado watanzania ni wa miaka ya 1900.Mtu anakwambia madawati ya shule yameibiwa.Mwalimu wa zamu anasema madawati ya shule hayajaibiwa ila yameibiwa madawati ya darasa la saba tu.