Kumbe ni Rais Kagame | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ni Rais Kagame

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 30, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Hilo ni jembe la ukweli!!spade ni spade si kijiko kikubwaa!!!!
   
 3. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  hehehee hata kikwete anapigwaga picha akiwa shambani anakagua mananasi na mahindi!! aaaaaaaaahhhh mh!!
   
 4. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mbona hawajamuwekea mkeka? atachafuka huyo! shauri yenu!
   
 5. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata Mwalimu Nyerere alikuwa nafanya hivyo hivyo, alikuwa anashiriki shughuli mbalimbali za maendeleo, sio hawa wa sasa ni kuchuma nchi kwa kwenda mbele!!!
   
 6. N

  Ngano Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Japokuwa Kagame ana-elekekezewa malalamiko mengi - nayosifa moja ambayo Viongozi wengi wa TZ yetu hawana. Anaipenda Rwanda yake kwa moyo wote kabisa.
  JK angekuwa hivyo, ufisadi unaosikika sasa - ungekuwa umeshafanyiwa kazi.
   
 7. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa kona moja wanajenga mafundi wawili.
  Alafu kibarua ana afya kuliko Bosi wake.
   
 8. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33


  angekuwa yeye hapo ungeona gloves.. Chezea H Bizo wewe!!!!!!!
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Kazi ya kuongoza nchi si lelemama na kutunga hotuba tu zenye maneno mengi yasiyo na tija.
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huyu Raisi anamwili mgumu sana, yaani hata ukimfungia kwenye kopo la Blue band mwezi mzima hanenepi!
   
Loading...